• Malalamiko
    • Wasiliana Nasi
    • MMM
    • Barua pepe za Watumishi
Local Government Loans Board

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Makatibu Waliowahi Kuongoza Bodi
    • Orodha ya Wajumbe wa Bodi
    • Orodha ya Mawaziri TAMISEMI
  • Huduma
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Kanuni
    • Kuomba Mkopo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Miradi
    • Miradi iliyokwisha
    • Mwongozo wa Uombaji wa Mkopo

Rais Dkt.Magufuli Akutana na Mawaziri wa Elimu na TAMISEMI, Apiga Marufuku Michango Mashuleni.

Posted on: January 17th, 2018



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote  ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifafanua jambo kwa msisistizo mara baada ya kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo(kushoto) na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako(kulia) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote  ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoa Maelekezo mara baada ya kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo(kushoto) na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako(kulia) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote  ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja  mara baada ya kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo(kushoto) na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako(kulia) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote  ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE,2023 KUFANYA MABADILIKO YA TAHASUSI ZA KIDATO CHA TANO NA KOZI ZA VYUO KWA MWAKA 2024 March 20, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA UANDISHI BORA WA MAANDIKO YA MIRADI ILI KUZIWEZESHA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUPATA PESA ZA MIRADI YA KIMKAKATI

    March 08, 2024
  • MAANDIKO BORA KUZIWEZESHA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUPATIWA MIKOPO KWENYE TAASISI ZA FEDHA

    March 25, 2024
  • LAAC: HATUTAKUBALI SERIKALI IPATE HASARA

    March 21, 2024
  • HALMASHAURI ZATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KUKOPA MIRADI MIDOGO

    March 13, 2024
  • Angalia Zote

Wasiliana Nasi

Local Government Loans Board

Sanduku la Barua: P.O Box 2710

Simu: +255 26 2321730

Barua Pepe: barua@lglb.go.tz

Fax:

Viungo vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • President's Office, Regional Adminstration and Local Government
  • MATUKIO

Zinazohusiana

  • Chuo cha Serikali za Mitaa
  • OR-TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI BLOG
  • Benki ya Maendeleo (TIB)

Video Mpya

More Videos
    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki@ Bodi ya Mikoya Mikopo ya Serikali za Mitaa